Ikiwa unahitaji msaada, taarifa, au ushauri kuhusu huduma za kanisa, utume, au utawala wa kanisa, timu yetu ipo tayari kukuhudumia kwa upendo na unyenyekevu. Tunatamani kila mawasiliano na huduma tunayotoa yawe baraka kwako na yakujenge katika imani.
—The ECTF Team